• HABARI MPYA

    Thursday, November 07, 2013

    HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA AZAM NA MBEYA CITY CHAMAZI LEO...MAANA YAKE MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU KAZI IPO

    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Mbeya City kuuwahi mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sareya 3-3.

    Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam akimtoka mchezaji wa Mbeya City

    Joseph Kimwaga wa Azam FC kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mbeya City

    Kipre Tchetche kulia

    Kipre Balou

    Kipre Tchetche

    Kipre Tchetche akiwahisha mpira katikati baada ya kuifungia bao Azam

    Mfungaji wa mabao yote matatu ya Mbeya City katika sare ya 3-3 Mwagane Yeya 'Morgan'

    John Bocco akigombea mpira wa juu na kipa wa Mbeya City, David Burhan

    Humphrey Mieno akimtoka beki wa Mbeya City

    Farid Mussa wa Azam akipambana na wachezaji wa Mbeya City 

    Erasto Nyoni wa Azam akimtoka beki mwenzake wa Mbeya City

    Kipa wa Mbeya City, David Burhan akiwania mpira wa juu 

    Farid Mussa na mchezaji wa Mbeya City

    Humphrey Mieno akipambana na wachezaji wa Mbeya City

    Kikosi cha Azam FC leo

    Mbeya City leo

    Mbeya City wakiomba dua kabla ya mechi

    Mashabiki wa Mbeya City wakiwa wameduwaa baada ya Azam kusawazisha 

    Suleiman Matola kushoto alikuwepo Chamazi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA AZAM NA MBEYA CITY CHAMAZI LEO...MAANA YAKE MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU KAZI IPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top