• HABARI MPYA

    Thursday, October 24, 2013

    MATA, TORRES WAPEWA 'KIBANO' NA TRAFIKI LONDON KWA KUPAKI OVYO GARI

    KWA pamoja wanawekewa ulinzi na mabeki wa timu pinzani, na sasa imketokea wote wawili wanakamatwa na trafiki akiwa na mchezaji mwenzake wa Chelsea, Juan Mata.
    Nyota huyo wa Hispania alikwenda kula chakula cha mchana katikati ya London akiwa na mchezaji mwenzake wa klabu hiyo na timu ya taifa, Fernando Torres wakati wanakutwa na kasheshe hilo kutoka na kupaki vibaya gari lao.
    Suala hilo likatatuliwa mara moja na Mata akawa mwenye furaha sana kupozi kwa ajili ya kupiga picha na trafiki aliyemtia mikwara ambaye ndiye aliyevujisha picha hizo.

    Juan Mata
    Juan Mata
    Wawili hao walikuwa katika mgahawa wa Jak’s restaurant Mtaa wa Walton.
    In the frame: Mata was more than happy to pose for a snap with the warden
    In the frame: Mata was more than happy to pose for a snap with the warden
    Dinner date: Mata and Torres had been enjoying lunch at Jak's on Walton StreetJuan Mata
    Dinner date: Mata and Torres had been enjoying lunch at Jak's on Walton Street
    Mata and Torres
    Just the ticket: Mata was pictured using the ticket machine
    Just the ticket: Mata was pictured using the ticket machine
    Juan Mata

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATA, TORRES WAPEWA 'KIBANO' NA TRAFIKI LONDON KWA KUPAKI OVYO GARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top