• HABARI MPYA

    Friday, October 25, 2013

    KOCHA ANCELOTTI HAJAAAMUA KUHUSU BALE KAMA ATAANZA AU...

    KOCHA Carlo Ancelotti hajaamua kama atamuanzisha Gareth Bale katika mechi ya El Clasico kesho, lakini amesema nyota huyo wa Wales yupo tayari.
    Mtaliano huyo, akizungumza katika Mkutano wa Real Madrid na Waandishi wa Habari leo mchana amesema kwamba maamuzi yoyote kuhusu Bale atayafanya baada ya mazoezi ya mwisho kuelekea mechi hiyo jioni ya leo kabla ya mechi na Barcelona Uwanja wa Camp Nou Jumamosi jioni.
    Ancelotti alisema; "Ikiwa kutakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari baada ya mazoezi ya jioni, nitawaambia vizuri kuhusu Bale kama ataanza,".

    Tayari kwa kazi : Bale amemuambia Ancelotti yuko tayari kuanza kikosini Real Madrid
    Gareth Bale
    Real coach Carlo Ancelotti has confirmed that Bale (above) is ready to start
    Kocha wa Real, Carlo Ancelotti amethitisha Bale (juu) yuko tayari kuanza
    Bale warms up with former Tottenham teammate Luka Modric
    Waliotokea Spurs: Bale akipasha misuli moto kwa pamoja na mchezaji mwenzake wa zaani wa Tottenham, Luka Modric (kulia)
    Cristiano Ronaldo
    Walini noma: Bale atatumai kuanza pamoja na Cristiano Ronaldo katika El Clasico
    Cristiano Ronaldo
    Real Madrid's Gareth Bale
    Real Madrid's (from L) Cristiano Ronaldo
    Watu fedha: Wachezaji ghali duniani, Bale (kushoto) na Ronaldo (kulia)
    Ancelotti watches on as he considers whether to start Bale for the first time
    uamuzi mwishoni: Ancelotti ataangali kama anaweza kumuanzisha Bale katika mechi kubwa
    Real Madrid players
    Siku ya mazoezi: Wachezaji Real Madrid wakijifua
    Real Madrid's Marcelo
    Xabi Alonso (left) and Isco (right) share a joke during training
    Kwa raha zao: Xabi Alonso (kushoto) na Isco (kulia) wakitaniana wakati wa mazoezi

    Baada ya kubanwa sana kwa maswali juu ya suala hilo, Ancelotti alisema kwamba Bale yuko tayari na hayuko katika wakati mgumu tena, lakini amejtuma sana na ametumia mapumziko ya mechi za kimataifa kujiweka fiti.'
    "Kwa maoni yangu, na maoni yake pia, yuko tayari kucheza tangu mwanzo,"alisema.
    Bale hajawa na mwanzo mzuri Real kutokana na kuandamwa na majeruhi tangu ajiunge na klabu hiyo ya Hispania. Kwa ujumla, mwanasoka huyo wa kimataifa wa Wales amecheza dakika 178 tu katika mechi tano na kufunga bao moja.
    Bale
    Juve imemrudisha: Bale alicheza katikati ya wki dhidi ya Juventus
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOCHA ANCELOTTI HAJAAAMUA KUHUSU BALE KAMA ATAANZA AU... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top