Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya tano katika ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Vicarage Road. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Christian Pulisic dakika ya 55, kabla ya Gerard Deulofeu kuwafungia wenyeji kwa penalti ya msaada wa Marudio ya Picha za Video (VAR) dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigeria@66: Tinubu’s tough reforms saved Nigeria from collapse – Akume
-
Secretary to the Government of the Federation (SGF), George Akume,
yesterday defended the tough economic reforms of the President Bola Tinubu
administrat...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment