Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuwafungia mabingwa wa dunia, Ufaransa bao la pili dakika ya 31 kufuatia Corentin Tolisso kufunga la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Albania usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Arena Kombetare mjini Tirana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Legendary undefeated boxing star Terence Crawford makes stunning RETIREMENT
decision: 'Nothing else left to prove'
-
The American, a five-weight world champion, won all 42 fights of his
professional fights and cemented his place among the greats of his
generation with vi...
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment