Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 52 kabla ya Christian Pulisic kufunga la pili dakika ya 79 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace huo ukiwa ni ushindi wa sita mfululizo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment