Refa Aliaksei Kulbakov wa Belarus akimuonyesha kadi nyekundu kipa wa Manchester City, Claudio Bravo aliyeingia dakika ya 46 kuchukau nafasi ya for Ederson Moraes baada ya kumuangusha Josip Ilicic wa Atalanta dakika ya 81 wakati anakwenda kufunga timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Kyle Walker alikwenda kusimama langoni katika mchezo ambao Raheem Sterling alianza kuifungia Manchester City dakika ya saba kabla ya kiungo anayecheza kwa mkopo kutoka Chelsea, Mario Pasalic kuisawazishia Atalanta dakika ya 49, dakika tu baada ya Gabriel Jesus kukosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment