Beki wa zamani wa Manchester City, Danilo akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la tatu dakika ya 60 ikiilaza Jamhuri ya Korea 3-0 katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Mohammed Bin Zayed mjini Abu Dhabi. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Lucas Paqueta dakika ya tisa na Philippe Coutinho dakika ya 36, huo ukiwa ushindi wa kwanza kwao tangu Julai mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment