James Maddison akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City dakika ya 75 akimalizia pasi ya Jamie Vardy aliyefunga bao la kwanza dakika ya 68 kwa pasi ya Youri Tielemans kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power kipigo ambacho kinazidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Unai Emery PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment