MKUDE ALIVYO FITI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA LIGI KUU KESHO DAR
Kiungo wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu yake Uwanja wa Gymkhana jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons kesho uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment