Mshambuliaji Jhonder Cadiz akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Dijon dakika ya 47 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paris St Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Gaston-Gerard mjini Dijon. Paris St Germain ilitangulia kwa bao la Kylian Mbappe dakika ya 19 kabla ya Mounir Chouiar kuisawazishia Dijon dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment