Kyle Walker akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 huku kiungo Pierre-Emile Hojbjerg akivuta bukta yake kwa hasira, Manchester City ikiilaza Southampton 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Southampton ilitangulia kwa bao la James Ward-Prowse dakika ya 13, kabla ya Walker kumsetia Sergio Aguero kufunga bao la kusawazisha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment