Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakia ya 53 ikiilaza KRC Genk 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 14, wakati la Genk lilifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment