Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akiwa haamini macho yake baada ya kukosa bao la wazi timu yake ikilazimishwa sare ya 0-0 na Slavia Praha katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, hiyo ikiwa ni sare ya kwanza nyumbani tangu Februari 2018 ambayo inazidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Ernesto Valverde PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment