Dani Carvajal (kushoto) akishangilia baada ya kusababisha Daniel Wass ajifunge dakika ya nane kuipatia Real Madrid bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili ya Real Madrid lilifungwa na Lucas Vázquez dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment