Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 69 katika sare ya 2-2 na Arsenal usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza Man United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 30, wakati mabao ya Arsenal yalifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 26 na Marcos Rojo aliyejifunga dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment