Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akitabasamu huku akiwaonyesha alama ya dole gumba mashabiki baada ya mchezo wa mchezo wa Serie A dhidi ya mahasimu wao wa Italia, Inter Milan usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Turin. Juventus ilishinda 1-0, bao pekee la mshambauliaji wa kimataifa wa Croatia, Mario Mandzukic dakika ya 66 na sasa inaongoza Serie A kwa pointi 11 zaidi ya Napoli wanaofuatia nafasi ya pili, ikifikisha mechi 15 za kucheza bila kupoteza — ikishinda 14 na sare moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment