Marco Asensio (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 33 na 35 ikishinda 6-1 dhidi ya Melilla katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yalifungwa na Javier Sanchez dakika ya 39, Isco mawili pia dakika za 47 na 83 na Vinicius Junior dakika ya 75, wakati la Melilla lilifungwa na Yacine Qasmi kwa penalti dakika ya 81 na Real Madrid inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 10-1 baada ya kushinda 4-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment