Cristiano Ronaldo akipiga tik tak mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kesho Uwanja wa Santiago Bernabeu. Ronaldo alifunga kwa tik tak kama hiyo katika mechi dhidi ya Juventus katikati ya wiki Ligi ya Mabingwa Ulaya mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment