Mshambuliaji Lionel Messi akipongezwa na wachezaji wenzake, Philippe Coutinho na Ousmane Dembele katika mchezo wa La Liga dhidi ya Leganes jana ambao alifunga mabao yote matatu dakika za 27, 32 na 87 katika ushindi wa 3-1 Uwanja wa Camp Nou, hiyo ikiwa hat trick yake ya 40 katika Ligi Kuu ya Hispania. Bao la Leganes lilifungwa na Nabil El Zhar dakIka ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment