KIKOSI CHA YANGA KILICHOIPIGA SIMBA 2-1 ARUSHA FAINALI YA KWANZA KOMBE LA FAT 2000
Kikosi cha Yanga kabla ya mechi ya kwanza ya Fainali ya Kombe la Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa TFF) Novemba 15 mwaka 2000 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha. Yanga ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Aziz Hunter na Vincent Tendwa, huku la Simba likifungwa na Ally Yussuf 'Tigana'.
0 comments:
Post a Comment