Mshambuliaji Javier Hernandez 'Chicharito' akiwa amebebwa na Marko Arnautovic wakati wakishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la kusawazisha dakika ya 73 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesar Azpilicueta dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment