Beki tegemeo wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje kumpisha Nacho baada ya kushindwa kuendelea na mchezo dakika ya 46 kutokana na kuvunjika pua kufuatia kugongana na mchezaji wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez katika mchezo wa La Liga wa mahasimu wa Jiji la Madrid usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano uliomalizika kwa sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment