Riyad Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Bao la kwanza lilifungwa na Jamie Vardy dakika ya 13, wakati la Spurs lilifungwa na Harry Kane dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment