Alberto Moreno (kushoto) akimpongeza Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 77 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City usiku wa jana Uwanja wa Bet365, Stoke-on-Trent, Staffordshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment