Mshambuliaji Romelu Lukaku akirukiwa na mchezaji mwenzake, Antonio Valencia baada ya kuifungia Manchester United bao la nne dakika ya 70 ikiwalaza 4-1 Newcastle United leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 37, Chris Smalling dakika ya 45 na Paul Pogba dakika ya 54, wakati bao pekee la Newcastle limefungwa na Dwight Gayle dakika ya 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen takes first 2026 pole ahead of Hamilton
-
Max Verstappen takes his and Red Bull's first pole position of 2026 with an
imperious performance in qualifying at the Bahrain Grand Prix in Malaysia.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment