David Haye akionyesha sehemu aliyofanyiwa upasuaji katika mkono wake baada ya kuanguka kwenye ngazi alipokuwa akifanya mazoezi na kusababisha ajitoe kwenye pambano la marudiano dhidi ya Tony Bellew lililopangwa kufanyika Desemba 17 ukumbi wa O2 baada ya kupigwa na mpinzani wake huyo awali kwa KO raundi ya 11 Machi mwaka huu. Pambano lingine sasa linaweza kufanyika Machi 24 au Mei 5 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Justice secretary faces no confidence vote in grooming gangs row
-
Opposition parties have accused Angela Constance of misrepresenting the
position of a leading expert on grooming gangs.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment