• HABARI MPYA

  Saturday, March 06, 2021

  NAMUNGO FC YAWANYOOSHA KAGERA SUGAR PALE PALE KAITABA, YAWACHAPA 1-0 BAO PEKEE LA SIXTUS SABILO

  BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 68 leo limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAWANYOOSHA KAGERA SUGAR PALE PALE KAITABA, YAWACHAPA 1-0 BAO PEKEE LA SIXTUS SABILO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top