• HABARI MPYA

    Tuesday, March 09, 2021

    LIVERPOOL YACHAPWA 1-0 NA FULHAM TENA PALE PALE ANFIELD


    BAO pekee la Mario Lemina dakika ya 45 limetosha kuipa Fulham ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad jana. Kwa matokeo hayo, Fulham inafikisha pointi 26 baada ya kucheza mechi 28, ingawa inabaki nafasi ya 18, wakati Liverpool inayobaki na pointi zake 43 za mechi 28 inahamia nafasi ya nane
     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YACHAPWA 1-0 NA FULHAM TENA PALE PALE ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top