• HABARI MPYA

    Sunday, November 01, 2020

    HAKIM ZIYECH AFUNGA LA KWANZA CHELSEA YAICHAPA BURNLEY 3-0


    Hakim Ziyech akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 26 na la kwanza kwa Mmorocco huyo katika Ligi Kuu ya England kwenye ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley jana Uwanja wa Turf Moor mabao mengine yakifungwa na Kurt Zouma dakika ya 63 na Timo Werner dakika ya 70
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAKIM ZIYECH AFUNGA LA KWANZA CHELSEA YAICHAPA BURNLEY 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top