• HABARI MPYA

  Thursday, July 12, 2018

  SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Beki wa JKU, Edward Mayunga (kulia) akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Simba, Mohammed Rashid wakati wa mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 1-0.
  Mshambuliaji wa Simba SC, Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere akimtoka beki wa JKU, Edward Mayunga 
  Beki wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akiudhibiti mpira dhidi ya kiungo wa JKU, Khamis Abdallah Ali
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' wa Simba SC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa JKU 
  Kiungo Mghana wa Simba SC, James Kotei (kushoto) akitoa pasi dhidi ya wachezaji wa JKU 
  Kocha wa Simba, Mrundi Masoud Juma akiwa kwenye pilika za kuiongoza timu yake jana 
  Mshika kibendera namba moja, Salah Abdi Mohammed wa Djibouti akitoa mwongozo jana 
  Kikosi cha JKU kabla ya mchezo wa jana
  Kikosi cha SImba SC kabla ya mchezo wa jana
  Mashabiki wa Simba SC wanaendelea kuwa watu wenye furaha nchini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top