• HABARI MPYA

  Thursday, July 12, 2018

  MCHEZO WA AZAM FC NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA DAR ES SALAAM

  Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga akimtoka mchezaji wa Gor Mahia katika mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0 
  Joseph Kimwaga akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa Gor Mahia jana 
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy'akipambana katikati ya wachezaji wa Gor Mahia 
  Mshambuliaji wa Azam FC, Ditram Nchimbi akipambana na mchezaji wa Gor Mahia
  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akifumua shuti dhidi ya wachezaji wa Gor Mahia
  Kocha wa Azam FC, Mholanzi Hans van der Pluijm akimpa maelekezo winga Joseph Kimwaga baada ya dakika 90 kumalizika timu hizo zikiwa hazijafungana kabla ya mabingwa hao watetezi kupata mabao yao mawili ndani ya dakika 30 za nyongeza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZO WA AZAM FC NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top