• HABARI MPYA

  Friday, July 20, 2018

  SADIO MANE APEWA JEZI ILIYOACHWA NA COUTINHO LIVERPOOL

  Mshambuliaji Msenegali wa Liverpool, Sadio Mane akiwa ameshika jezi mpya, namba 10 atakayokuwa akivaa kuanzia msimu ujao ambayo awali ilikuwa inatumiwa na Mbrazil, Philippe Coutinho aliyehamia Barcelona Januari mwaka huu. Mane alikuwa anavaa jezi namba 19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SADIO MANE APEWA JEZI ILIYOACHWA NA COUTINHO LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top