• HABARI MPYA

  Sunday, July 15, 2018

  ROONEY AANZA VIZURI MAREKANI, AISAIDIA DC UNITED KUSHINDA 3-1

  Mshambuliaji mpya wa DC United, Wayne Rooney akishangili na wachezaji wenzake, Yamil Asad na Taylor Kemp baada ya kutokea benchi na kuisaidia timu yake kushinda 3-1 dhidi ya Vancouver Whitecaps kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani (MLS) alfajiri ya leo Uwanja wa Audi Field mjini Washington, DC. Mabao ya DC yamefungwa na Yamil Asad dakika ya 27, Paul Arriola dakika ya 69 na 80 kwa pasi ya Rooney wakati la kufutia machozi la timu ya Canada, Vancouver Whitecaps 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY AANZA VIZURI MAREKANI, AISAIDIA DC UNITED KUSHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top