• HABARI MPYA

  Sunday, July 15, 2018

  PACQUIAO AMTWANGA MTU KO NA KUSHINDA PAMBANO LA 60

  Bondia Lucas Matthysse akiwa amelala chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake, Manny Pacquiao usiku wa kuamkia leo katika pambano la kuwania taji la WBA uzito wa welter mjini Kuala Lumpur, Malaysia. Kuala Lumpur on Sunday. Pacquiao mwenye umri wa miaka 39, ameshinda kwa Knockout (KO) raundi ya saba baada ya kumuangusha Matthysse mara tatu na kuweka rekodi ya kushinda mapambano 60 kati ya 69 aliyocheza, akipoteza saba na sare mbili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PACQUIAO AMTWANGA MTU KO NA KUSHINDA PAMBANO LA 60 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top