• HABARI MPYA

  Wednesday, July 18, 2018

  REAL MADRID YASAJILI MCHEZAJI WA KWANZA TANGU IMUUZE RONALDO

  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez (kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo, beki Alvaro Odriozola baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka Real Sociedad leo, huu ukiwa usajili wa kwanza tangu wamuuze nyota wao mkubwa, Cristiano Ronaldo kwenda Juventus kwa Pauni Milioni 100 juzi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASAJILI MCHEZAJI WA KWANZA TANGU IMUUZE RONALDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top