• HABARI MPYA

  Friday, July 20, 2018

  MTENDAJI MKUU AZAM AKUTANA NA DIKEMBE MUTOMBO MAREKANI

  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ (kulai) akiwa na gwiji wa mpira wa kikapu, Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo, maarufu tu kama Dikembe Mutombo baada ya kukutana jana mjini New York, Marekani.
  Mutombo amecheza timu mbalimbali za NBA zikiwemo Denver Nuggets, Atlanta Hawks, Philadelphia 76ers, New Jersey Nets, New York Knicks na Houston Rockets. Popat amehamishiwa kwenye nafasi ya Utendaji Mkuu, kutoka Makamu Mwenyekiti katika mfumo mpya wa uendeshwaji wa klabu ambao unafuta cheo cha Makamu Mwenyekiti 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTENDAJI MKUU AZAM AKUTANA NA DIKEMBE MUTOMBO MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top