• HABARI MPYA

  Tuesday, July 17, 2018

  MSUVA YUKO TAYARI KWA KAZI NA SETIF LEO ALGERIA

  Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (kulia) akifurahia na wachezaji wenzake wa Difaa Hassan El- Jadida ya Morocco mjini Setif, Algeria leo kabla ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, ES Setif usiku huu Uwanja wa Mei 8, 1945 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA YUKO TAYARI KWA KAZI NA SETIF LEO ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top