• HABARI MPYA

  Monday, July 16, 2018

  MAELFU WAJITOKEZA KUWAPOKEA MABINGWA WA DUNIA UFARANSA

  Wachezaji wa Ufaransa wakiwapungia mikono mashabiki na wananchi wenzao kwa furaha wakati sherehe za mapokezi ya timu hiyo ya taifa ya soka mjini Paris leo ikitokea Urusi, ambako jana ilitwaa Kombe la Dunia kufuafia ushindi wa 4-2 dhidi ya Croatia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAELFU WAJITOKEZA KUWAPOKEA MABINGWA WA DUNIA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top