• HABARI MPYA

  Monday, July 16, 2018

  CROATIA NAYO YAPATA MAPOKEZI MAZURI NYUMBANIA

  Maelfu ya mashabiki wakiwa katika mtaa wa Bana Jelacica Square mjini Zagreb' wakati wa mapkoezi ya timu  ya taifa ya Croatia ikitokea Urusi ambao ilifanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Dunia baada ya kufungwa 4-2 na Ufaransa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CROATIA NAYO YAPATA MAPOKEZI MAZURI NYUMBANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top