• HABARI MPYA

  Saturday, July 14, 2018

  KOKE NA MKEWE WAKIFURAHIA MANYARA NA NGORONGORO

  Kiungo wa kimataifa wa Hispnaia, Jorge Resurreccion Merodio anayefahamika zaidi kama Koke akifurahia na mkewe Beatriz Espejel Jiménez katika mbuga za wanyama za Manyara na Ngorongoro. 

  Kiungo huyo wa Atletico Madrid yupo nchini kwa mapumziko baada ya timu yake ya taifa, Hispania mapema kwenye kombe la Dunia nchini Urusi.
  Koke akipiga picha katika mbuga za wanyama za  Manyara na Ngorongoro. 
  Koke akifurahia na mkewe Beatriz Espejel Jiménez katika mbuga za wanyama za  Manyara na Ngorongoro. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOKE NA MKEWE WAKIFURAHIA MANYARA NA NGORONGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top