• HABARI MPYA

    Wednesday, July 18, 2018

    JUMA LUIZIO AREJEA MTIBWA SUGAR BAADA YA KUACHWA SIMBA

    Mshambuliaji Juma Luizio Ndanda akiwa ameshika fomu za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro akitokea Simba SC. Luizio aliondoka Mtibwa Sugar mwaka 2014 kwenda Zesco United ya Zambia kabla ya mwaka jana kurejea nchini kujiunga na Simba SC na sasa anarejea nyumbani Manungu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUMA LUIZIO AREJEA MTIBWA SUGAR BAADA YA KUACHWA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top