• HABARI MPYA

    Saturday, July 14, 2018

    AZAM FC SIMBA KATIKA PICHA JANA TAIFA FAINALI KAGAME

    Kipa wa Azam FC, Razack Abalora akiwa juu kudaka dhidi ya beki wa Simba, Paul Bukaba katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
    Mshambuliaji wa Simba SC, Marcel Kaheza akijaribu kuuweka sawa mpira katika himaya yake mbele ya beki wa Azam FC, Abdallah Kheri
    Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa
    Beki wa Simba Serge Wawa Pascal akimgeuza kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' 
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Paul Bukaba
    Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Rashid Juma (kulia) akitafuta maarifa ya kuwapita mabeki wa Azam, Nico Wadada na Aggrey Morris
    Kocha wa Simba, Masoud Juma akitafakari mambo wakati wa mchezo wa jana
    Kocha wa Azam FC, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwa amebebwa baada ya mechi 
    Kikosi cha Simba SC kabla ya mechi ya jana Uwanja wa Taifa  
    Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC SIMBA KATIKA PICHA JANA TAIFA FAINALI KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top