• HABARI MPYA

    Friday, April 04, 2014

    MUTAHABA AOMBA UWAKALA WA WACHEZAJI FIFA

    Na Boniface Wambura, Dar es Salaam
    WATANZANIA watano wamefanya mtihani wa uwakala wa wachezaji wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ambao ulifanyika jana (Aprili 3 mwaka huu) duniani kote.

    Watahiniwa katika mtihani huo ambao ulikuwa na maswali kutoka FIFA na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) walikuwa Godlisten Anderson, Jesse Koka, Lutfi Binkleb, Rwechungura Mutahaba na Silla Yalonde.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MUTAHABA AOMBA UWAKALA WA WACHEZAJI FIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top