![]() |
| Msalimie Musonye; Tenga sasa anabaki kuwa Rais wa CECAFA na Mjumbe wa CAF na FIFA |
![]() |
| Kuongoza mpira kazi; Malinzi akizungumza na Tenga wakati akienda kumuachia ofisi |
![]() |
| Malinzi akiandika anayoelezwa na Tenga |
![]() |
| Malinzi akinukuu hotuba ya Tenga, ilikuwa ndefu sana iliyosheheni mambo kibao |
![]() |
| Umati ulioshuhudia zoezi hilo |
![]() |
| Hongera sana; Tenga akimkaribisha Malinzi |
![]() |
| Duu, hii hotuba! Tenga akihutubia pembeni ya Malinzi |
![]() |
| Malinzi naye alihutubia, kushoto ni Makamu wake wa Rais, Walace Karia na kulia Tenga |
![]() |
| Mwenyekiti wa BMT, Dioniz Malinzi kushoto akiwa na Mkurugenzi wa Michezo, Lenard Thadeo kulia |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati mpya ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' |
![]() |
| Sijui nitabaki? Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah |
![]() |
| Ilikuwa joto balaa; Hema hili ndilo lilitumika kwa shughuli hiyo |
![]() |
| Malinzi akinitosa narudi kufundisha Yanga; Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni kushoto |

















.png)
0 comments:
Post a Comment