• HABARI MPYA

    Saturday, November 09, 2013

    SUAREZ NI MOTO MKALI, AIPIGIA LIVERPOOL MBILI IKUIA 4-0 ENGLAND

    MSHAMBULIAJI Luis Suarez ameifungia mabao mawili Liverpool katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Fulham usiku huu Uwanja wa Anfiled katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
    Suarez alifunga mabao hayo katika dakika za 36 na 53 baada ya Amorbieta kujifunga dakika ya  23 na Skrtel kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya (26.
    Kikosi cha Liverpool kilikuwa; Mignolet, Johnson, Skrtel, Agger, Cissokho/Enrique dk60, Henderson, Gerrard/Allen dk66, Lucas, Coutinho, Sturridge/Moses dk7 na Suarez.
    Fulham; Stekelenburg: Zverotic5, Senderos, Amorebieta, Richardson, Dejagah, Sidwell, Parker, Kacaniklic/Ruiz dk46, Berbatov/Karagounis dk83, Kasami.
    Red hot: Luis Suarez scores Liverpool's third goal
    Gift: Fulham's Fernando Amorebieta deflects ball into hos own net
    Gift: Fulham's Fernando Amorebieta deflects ball into hos own net
    Agony: Fulham's Maarten Stekelenburg can't hide his frustration
    Agony: Fulham's Maarten Stekelenburg can't hide his frustration
    Clinical: Suarez, right, scores the third goal for Liverpool
    Clinical: Suarez, right, scores the third goal for Liverpool
    Sharp shooter: Suarez celebrates scoring their fourth goal
    Sharp shooter: Suarez celebrates scoring their fourth goal
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ NI MOTO MKALI, AIPIGIA LIVERPOOL MBILI IKUIA 4-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top