• HABARI MPYA

    Monday, November 04, 2013

    KIUNGO SIMBA SC AULA KATIKA MABADILIKO MENGINE TFF YA MALINZI, KIGOGO MSAFIRI MGOYI CHALI

    Kiungo wa zamani wa Simba SC, Wilfred Kidao (katikati) amechukua nafasi ya Ahmed Msafiri Mgoyi kushoto Dar es Salaam, wakati Khalid Abdallah amepewa Tanga katika mabadiliko ya Wasimamizi wa vituo yaliyofanywa na Kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais mpya, Jamal Malinzi.
    Taarifa ya TFF kwa Wasimamizi wapya wa vituo


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIUNGO SIMBA SC AULA KATIKA MABADILIKO MENGINE TFF YA MALINZI, KIGOGO MSAFIRI MGOYI CHALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top