![]() |
| Kutoka kulia Didier Kavumbangu, Haruna Niyonzima, Simon Msuva na Said Baanuzi |
![]() |
| Wachezaji wakinyoosha viungo |
![]() |
| Yanga watacheza na JKT Oljoro keshokutwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaa katika mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu |
![]() |
| Hapa dua |
![]() |
| Ofisa Mtendaji wa Yanga SC, Patrick Naggi raia wa Kenya, kushoto akizungumza na kiungo Haruna Niyonzima |








.png)
0 comments:
Post a Comment