• HABARI MPYA

    Friday, November 08, 2013

    BONANZA LA NANI MTANI JEMBE NDANI YA SHINYANGA NA MOSHI JUMAPILI HII KIINGILIO BURE

     Kilimanjaro Premium Lager inawakaribisha kushuhudia Bonanza kubwa la aina yake Jumapili hii tarehe 10 November!, Mashabiki wa timu hizi kubwa katika mikoa ya Shinyanga na Kilimanjaro watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
       Kuvutana kamba!!.
       Foos Ball!!
       Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
    Ø Nyama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo…

    § Pale mjini Moshi mkoani Kilimanjaro; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa CCM Mkoa!!. Kutumbuiza jukwaani watakuwepo Malindi Band…. aka The Kilimanjaro Stars.

    § Na kule mkoani Shinyanga; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika Uwanja wa Shycom!!. Jukwaani watatumbuiza…The TMA Band! HAKUNA KIINGILIO!
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BONANZA LA NANI MTANI JEMBE NDANI YA SHINYANGA NA MOSHI JUMAPILI HII KIINGILIO BURE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top