KLABU ya Atletico Madrid imewasogelea vinara wa La Liga, Barcelona kileleni kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao usiku huu.
Shukwani kwao, wfungaji wa mabao hayo, Diego Costa na David Villa.
Huo unakuwa ushindi wa sita mfululizo kwa timu ya Diego Simeone Uwanja wa Vicente Calderon na maana yake sasa wanazidiwa pointi moja na mabingwa hao, Barca.
Athletic, wakati huo huo ililazimika kucheza pungufu baada ya Erik Moran kutolewa nje kwa kadi nyekundu.

Prolific: Costa, who will soon play for Spain despite his Brazilian birth, could rival Lionel Messi and Cristiano Ronaldo for top scorer in La Liga

Fortress: Atletico have won six in a row at home, and are just a point behind Barcelona
Valencia ilimaliza unyonge wa kufungwa mechi tatu, kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Getafe.Los Che walifungwa nyumbani na Almeria katikati ya wiki.



.png)
0 comments:
Post a Comment